Yanga Princess kuibomoa Simba Queens
Klabu ya Yanga Princess ipo katika azungumzo na mchezaji Joele Bukuru ambaye aikuwa Kwa Mkopo Fountain Gate akitokea Simba Queens .
Mchezaji mwenyewe yupo tayari kujiunga na Wananchi kitu ambacho kinaweza kuleta urahisi wa dili hilo.