Yanga kuanza kumtambulisha Prince Dube

Maandalizi juu ya kumtambulisha mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Prince Mpumalelo Dube kwenye klabu ya Yanga- yameanza sasa.

Mmoja kati ya mtu wa karibu wa klabu hiyo ameitonya Mambo Uwanjani Blog kuwa Yanga inataks kumtambulisha Dube muda wowote hivyo mashabiki wao wakae mkao wa tayari.

Dube alikuwa anaichezea Azam FC na aliamua kuvunja mkataba wake hasa baada ya kutoridhishwa na hali ya mambo, na Yanga- imekuwa timu pekee iliyomvutia na akitaka kujiunga nayo


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI