Wiki ya Wananchi sasa Ni Agosti 3
Klabu ya Yanga SC ipo kwenye Maandalizi ya kuelekea kuanza wiki ya Wananchi lakini kwa Taarifa za kuaminika tamasha hilo litafanyika siku ya Tarehe 03/08/2024.
Siku hiyo klabu ya Yanga- SC itaitumia kutambulisha wachezaji wake wapya wa Msimu wa 2024/2025 ikisindikizwa na Mchezo wa Kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs kutoka South Africa”