Wachezaji Yanga Princess wamuaga nyota wao Mmarekani


Baada ya mchezo wa mwisho Ligi Kuu ya Wanawake wachezaji wa Yanga Princess walitumia nafasi ya kumuaga na mchezaji mwenzao Dada Kaeda anaerejea nchini Marekani kuendelea na masomo yake baada kuitumikia Yanga Princess kwa msimu mmoja.

Wachezaji wa Yanga Princess hawakufurahishwa kuondoka kwa Kaeda kwakuwa tayari walishazoeana naye na kumfanya kama ndugu yao, hivyo akiwa Marekani wanajihisj watakuwa wapole.

Hata Dada Kaeda naye amesikitishwa kuondoka kwake ingawa ni wajibu kuongeza elimu

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI