Vipers yaipora mchezaji Kagera Sugar

Nyota wa Kimataifa wa Uganda,Dissan Galiwango yupo mbioni kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Vipers ya Uganda.

Galiwango alijiunga na Kagera Sugar Mwanzoni mwa msimu 2023-2024 akitokea Vipers ya Uganda,Atarejea Uganda baada ya kulitumikia Jumba la ladha na hekaheka #LigiKuu kwa msimu mmoja pekee.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI