Tabora United yabaki Ligi Kuu bara

Timu ya Tabora United ya Mkoani Tabora imefanikiwa kubaki katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Biashara United ya Mara, ambapo jumla ya matokeo ni magoli 2-1 kwa kuwa mchezo wa kwanza Biashara ilishinda goli 1-0

Mchezo huo wa “Play Off” umepigwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Biashara itaendelea kubaki katika Ligi ya Championship msimu ujao wa 2024/25


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI