Simba yapata mbadala wa Tshabalala
Klabu ya Simba SC Tanzania wamefikia makubaliano na beki wa kushoto wa Burkinabe Valentin Nouma(23)
Nouma anatarajiwa kuwasili wiki hii kwaajili ya vipimo vya afya kabla ya kusaini mkataba wa miaka 3 na aliwahi kuichezea FC Saint Eloi Lupopo.
Nouma anatarajiwa kuimarisha safu ya ulinzi ya Simba SC kwa ujuzi na uzoefu wake, Nouma atakuwa mbadala wa Mohamed Hussein "Tshabalala"