Simba yampa thank you John Bocco


Klabu ya Simba imempa mkono wa kwaheri aliyekuwa kiongozi wa wachezaji (nahodha) John Raphael Bocco ikiwa alijiunga na klabu hiyo akitokea Azam FC.

Kwa niaba ya Wanasimba Bocco anastahili kupewa sifa ya pekee na atakumbukwa zaidi kwani rekodi zake alizoweka ni kubwa sana na Simba inakutakie mafanikio mema katika majukumu yako baada ya soka.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI