Samson Madeleke ni mali ya Pamba FC


Mlinzi wa kati Samson Madeleke amesaini Pamba Jiji FC mkataba wa miaka miwili akitokea Mashujaa FC.

Madeleke kabla ya Mashujaa FC alikuwa mlinzi wa Mbeya City ya Mbeya.




Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI