Saido Ntibanzokiza atupiwa virago Simba

Kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza hatokuwa sehemu ya kikosi cha Simba kwa ajili ya msimu wa 2024/25 baada ya kumaliza mkataba wake.
.
Taarifa iliyotolewa mapema leo, Saido hatoonekana msimu ujao kwenye kikosi cha Simba ingawa alikuwa kwenye msimu bora, hasa wa 2022/2023 ambapo aliweza kuwa mfungaji bora.

Hata hivyo Saido anatajwa kujiunga na Coastal Union ya Tanga ambao nao watashiriki kombe la Shirikisho barani Afrika msimu ujao ambapo Simba nao watashiriki michuano hiyo hiyo


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI