Safari Lager Cup kumekuchaa
Lile tukio kubwa tumekua tukisubiri sasa limefika! Mechi ya fainali ya #SafariCup itafanyika tarehe 29 Juni, viwanja vya Benjamin Mkapa.
Ahhha na sii soka kama soka tu bali experience ya kimataifa na performance kali kabisa kutoka kwa Konde Boy @harmonize_tz
Endelea kufuatilia kurasa zetu kujua tiketi zinaanza kupatikana lini na wapi maana hii sii ya kukosa.