Omary Omary na Simba kimeeleweka


Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya kumsajili aliyekuwa Kiungo wa Klabu ya Mashujaa,Omary Omary kwa Mkataba wa Miaka miwili.

Omary Omary anakuwa Usajili wa tatu wa Simba kukamilisha kwenye dirisha hili la Usajili baada ya Joshua Mutale na Lameck Lawi ingawa Coastal Union wamerudisha fedha za usajili wake.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI