Nyota wa PSG ndani ya Yanga
Rais wa Young Africans SC Mhandisi Hersi Said amempokea Mgeni wake Achraf Hakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
Mchezaji huyu bora kutoka katika Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa ameambatana na rafiki zake saba atakuwa nchini kwa wiki moja huku wakitembelea vivutio mbali mbali vya utalii nchini.