Nandy amfokea mumewe hadharani
Msanii Billnass baada ya kumtania mpenzi wake Nandy kuwa anatamani apate mtoto na mdada wa Kenya jibu la Nandy sasa lazua taharuki.
Nandy amemjibu tofauti na Bilinas alivyodhani kwani ametoa maneno ambayo yanaonekana kama ya kumfokea.
Utani wa wapendanao ni raha sanaa hasa mkiwa mmezoeshana katika utani