Mwenyekiti wa Kijiji cha Mdaula ndani ya Msoga Marathon

Mwenyekiti wa Kijiji cha Mdaula Bwilingu, Chalinze wilayani Bagamoyo Shabani Hussein "Kipresha" naye alikuwa miongoni mwa washiriki wa mashindano ya riadha yaliyofahamika kwa Msoga Marathon.

Msoga Marathon ilifunguliwa na Rais mstaafu Kikwete na kuudhuriwa na waheshimiwa wabunge, madiwani na watu mbalimbali (Pichani Kipresha akishiriki mbio hizo) picha na mtandao


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA