Mtangazaji wa redio ya Alikiba amsifia Diamond

Mtangazaji wa Crown Fm na Crowntv ya Alikiba Salim Kikeke amempongeza Diamond Platnumz nakumpa heshima kubwa baada ya wimbo wake KOMASAVA kufanyiwa challange na msanii wa Marekani Chris Brown

Diamond Platinumz amekuwa na uhasimu na Alikiba, hivyo kitendo cha Kikeke kumsifia Diamond kunaleta tafrani ingawa hilo haliwezi kutokea kwani anayestahili pongezi apewe tu


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI