Mgunda huyoo Mashujaa

Na King David Paschal

Ismail Mgunda amejiunga na Mashujaa Kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Singida Black Stars

Mgunda alijiunga na Singida Black Stars zamani Ihefu fc akitokea Tanzania Prisons mwaka Jana mwezi Julai


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI