Mbwana Makata abadili gia angani, atua Prisons
Kocha Mbwana Makata amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na klabu ya Tanzania Prisons akichukua nafasi ya Ahmad Ally.
Makata akeshasaini mkataba siku ya jana, na sasa viko vitu vichache vinakamilishwa ili aweze kutangazwa kama kocha mkuu wa klabu hio.
Kwa mujibu wa taarifa nilizonazo ni kuwa haijafahamika kama ataenda na msaidizi wake atasaidiwa na Kazumba & Mtupa ambao ni makocha wasaidizi Tanzania Prisons.