Magori afanya yake kwa beki la Zesco United

Mlinzi wa Zesco United, Tandi Mwape raia wa Zambia anatajwa kuwa huenda akajiunga na Simba SC kwenye dirisha hili la usajili.

Inaelezwa kuwa Zesco walikuwa kwenye mpango wa kumuongezea mkatabana mazungumzo yalikuwa yanaenda vizuri na nyota huyo lakini ghafla nyota huyo hapokei simu na amekuwa msumbufu.

Taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa nyota huyo alikutana na kiongozi wa Simba SC ambae alikuwa nchini humo siku kadhaa zilizopita kwa ajili ya mazungumzo na baadhi ya wachezaji wanaohitajika na Lunyasi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI