Luis Miquissone aungana na Saido


Klabu ya Simba SC imeachana na aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji wake,Luis Miquissone kufuatia kiwango kibovu alichoonyesha nyota huyo tangu amesajiliwa na Simba kwa mara ya pili.

Miquissone hajafunga goli lolote akiwa na Simba ndani ya Mechi 19 alizocheza huku akitoa assist 4 pekee.

Jana mtandao huu uliandika kwamba Miquissone ataendelea kusalia kwenye kikosi hicho, lakini leo klabu yake ya Simba imempa thank you.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI