Kumbe Zawadi Mauya ni mwanasheria wa Yanga!!!


Ni jambo zuri sana Wamefanya Klabu Yanga sc kumuongezea mkataba Mauya, wapo watakao hoji Kwa nini Yeye na Sio Vijana wapya Waingie.

Zawadi Mauya kitaaluma ni Mwanasheria ambaye ni Masters Holder, Pia ni mtu ambaye anaisaidia sana Klabu Hususan katika mambo ya Utafsiri wa Sheria hasa Sheria za Michezoni Katika Upande wa Mpira wa Miguu pia ana Verified Certificate Degree in Laws Kutoka FIFA huyu.

Yanga wanamuanda endapo akistaafu ataendelea kufanya kazi Yanga SC


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI