Kipre Jr kuuzwa MC Alger

Azam FC imepokea ofa rasmi kutoka kwa MC Alger ya kutaka kumsajili winga wao raia wa Ivory Coast, Kipré Zunon (24),

Imefahamika Azam pamoja na uongozi wa Kipré sasa watasoma ofa hiyo na kufikia uamuzi wa mwisho.
Alifunga mabao 10 katika msimu uliomalizika hivi punde.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI