Kennedy Juma naye apewa thank you


Klabu ya Simba imetangaza kuachana na aliyekuwa Beki wake wa kati,Kennedy Juma baada ya Mkataba wake na Simba kumalizika.

Kennedy alijiunga na Simba miaka mitano iliyopita akitokea Singida United na amefanikiwa kubeba mataji mawili ya Ligi Kuu akiwa na miamba hiyo ya Tanzania.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI