Joash Onyango kutimkia Dodoma Jiji

Na Salim Fikiri Jr

Mlinzi wa kati wa Singida Black Stars zamani Ihefu SC Joash Onyango anakaribia kujiunga na walima zabibu wa Dodoma Jiji.

Taarifa ambazo hazina shaka yoyote na chanzo chetu cha habari zimetuweka wazi kwamba Onyango raia wa Kenya ambaye aliwahi kuzichezea Gor Mahia ya Nairobi nchini Kenya na Simba SC ya Dar ea Salaam ya Tanzania, atajiunga na Dodoma Jiji msimu ujao.

Onyango amekuwa kwenye kiwango kizuri tangu alioojiunga na timu hiyo iliyokuwa ikijulikana kama Singida Big Stars kabla ya kubadilisha jina na kuitwa Singida Fountain Gate na baadaye Ihefu ikauzwa na nusu ya wachezaji wa Singida Fountain Gate wakaingia Ihefu


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI