JKT Tanzania yamrudisha uwanjani Bocco
JKT Tanzania wamefanya mazungumzo na Kocha mkuu wa Simba U17 John Raphael Bocco arudi uwanjani kwa ajili ya kuimarisha eneo lao la ushambuliaji
Bado hawajafikia makubaliano ila walikuwa na mazungumzo chanya na wataendelea kumshawishi ili ajiunge nao kuelekea msimu ujao .