JKT Tanzania yafuta benchi lote la ufundi


JKT Tanzania FC imeifuta kazi benchi lao lote la ufundi ambalo lilikuwa linaongozwa na kocha wake Malale Hamsini ambaye nae ni miongoni mwa waliotumuliwa.

Haijajulikana sababu pekee iliyopelekea Malale kutimuliwa lakini Inasemekana kwamba uongozi wa JKT Tanzania haujafurahishwa na timu hiyo kunusurika kushuka daraja na ikiwa ilikuwa ina wachezaji wazuri


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI