JK afungua Msoga Marathon


MSIMU wa Kwanza wa Mbio za Msoga Half Marathon 2024, umefanyika kwa mafanikio makubwa huku Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dr.Jakaya Kikwete akifungua milango kwa wanariadha wa Tanzania kujifua Msoga, Chalinze mkoani Pwani.

Raid mstaafu Kikwete almaarufu JK, alitanabaisha hayo mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo kwenye Uwanja wa Mpira wa Msoga, mwishoni mwa wiki.

Katika mbio hizo zilizoshirikisha
washiriki zaidi ya 2000, JK alishiriki mbio za Km. 5 sambamba mkewe ambaye ni Mbunge wa Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete, Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Rombo na Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda na viongozi mbalimbali wa kiserikali na kisiasa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA