Injinia Hersi asema Yanga ya msimu ujao haijawahi kutokea
Raisi wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ameeleza kuwa msimu ujao klabu ya Yanga itakuwa na kikosi kipana hakijawahi tokea.
Kikosi hicho kitaundwa na wachezaji wa kimataifa na wazawa kutoka katika vilabu mbali mbali vya ndani na nje ya Tanzania.
Klabu ya Yanga ambayo inatarajia kuacha na kutangaza maingizo mapya ya msimu mpya 24/25 tarehe 01/7/24.
Follow ukurasa wetu
.
#sokamagicupdates