Harmonize ni rafiki yangu lakini sipeani bure- Giggy Money
Na Mwandishi Wetu
Msanii wa Tanzania Gigy Money ameweka wazi kuwa yeye na Harmonize ni marafiki lakini ikifika suala la kazi lazima amlipe ili amfanyiw kazi bora.
"Harmonize ni rafiki yangu lakini sipeani bure- ikifika muda wa kufanya kazi", alisema Giggy Money wakati akiongea na mtandao huu