George Mpole, Mwamnyeto wasaini miaka miwili Yanga
Baada ya Makubaliano ya pande zote mbili baina ya Mlinzi Bakari Nondo Mwamnyeto na Waajiri wake Young Africans lilifuata dili la Mshambuliaji George Mpole,
Kumbuka: Wachezaji hawa wawili wanasimamiwa na Meneja Mmoja na wote walisaini siku moja kwa maana George Mpole kujiunga na Young Africans na Bakar Mwamnyeto kuongeza kandarasi ya kuendelea kuitumikia Young Africans.