Edna Lema kurejea Yanga Princess

Klabu ya Young Africans imefanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wao wa Yanga Princess Edna Lema ili kurejea klabuni hapo.

Edna Lema ana mkataba wa mwaka mmoja wa Biashara Utd kama kocha msaidizi unakaribia kumalizika mwezi huu.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI