Dodoma Jiji yawasajili Luhende, Seseme

Taarifa nilizonazo muda huu:Klabu ya Dodoma Jiji imekamilisha usajili wa nyota wawili Abdallah Seseme pamoja na David Luhende kutoka Kagera Sugar.

Nyota hao wawili wamekuwa na wakati mzuri sana kwa misimu mingi ambayo wamekuwa wakiitumikia Kagera Sugar.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI