Diva The Bawse anahitaji kidume cha kumdekeza

Mtangazaji maarufu Diva the bawse baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake Abdul sasa ametangaza kuwa Jimbo liko wazi anatamani kumpata mwanaume atakayeweza kumdekeza.

Diva The Bawse ambaye kwa sasa ni mtangazaji wa Wasafi FM amesema hayo hivi karibuni ambapo anadai anatamani kupata kidume kitakachoweza kumdekeza.

"Natamani kudeka, mimi ni mwanamke napenda sana kudeka hasa kwa mwanaume anayejua mapenzi, kudeka ni haina ya staili zetu walimbwende kwa sisi" alisema staa huyo wa mtangazaji Tanzania


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI