Deborah Mavambo asajiliwa Simba
Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa mwenye uraia wa Angola na Congo, Deborah Mavambo.
Deborah ameshawasili kwaajili ya kukamilisha dili la usajili, kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimesema Simba imempa mkataba wa miaka miwili.
Mpaka sasa Simba imefanya sajili tatu za kimataifa ambazo ni
1.Joshua Mutale Winga
2.Steven Mukwala-Straika
3.Deborah Mavambo- Kiungo