De Bruyne alitaka kuichezea Burundi
Chombo cha habari cha Uingereza cha ESPN UK kimeripoti kuwa Mchezaji wa kimataifa wa Ubelgiji Kevin De Bruyne angeweza kuichezea Timu ya Taifa ya Burundi "Intamba Murugamba" kwa sababu kuzaliwa Mama yake Mzazi Nchini humo.
Kwa mujibu wa sheria za Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) ingemruhusu kucheza kutokana na kuwa na mmoja wa Wazazi wake kuzaliwa Burundi .
.
#sokamagicupdates