Coastal Union wameyakanyaga- Magori

Na Shafih Matuwa

Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba SC Crescentius Magori amesema kwamba Coastal Union imeyakanyaga.

"Ndio tulichelewa kumaliza pesa,. tulilipa nusu lakini mpaka June tulikuwa tumemaliza kulipa pesa yoye ya usajili"

"Tumemsajili Lameck Lawi kwa kufuata utaratibu. Wangesema kama ukichelewa kulipa mkataba unavunjika. Mpaka June tulikuwa tumemaliza kulipa pesa yote na nyaraka zote tunazo hata tukienda FIFA"

"Kilichotokea Coastal Union wakapata deal kutoka nje ndio maana wakabadili maamuzi"

Amesema Crescentius Magori.
Mjumbe wa bodi ya Simba SC.



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI