Chama akitaka kuondoka aende- Julio
“Nampongeza na kumsifia sana Magori, ni kiongozi shupavu ambaye yakitokea mambo kama haya hawezi kupaka paka rangi, kasema yeye kama anataka aondoke, aende kwa sababu wachezaji wenye uwezo kama yeye na kumzidi wapo wengi”
“Viongozi wasimtetee Chama kama anataka kuondoka aonde, Simba ina uwezo wa kununua wachezaji wazuri vile vile, kwa sababu ni binadamu leo akifa, au kavunjika mguu Simba haichezaji? Itaendelea kucheza,
Mimi Julio nilipita Simba leo sipo, na Kama Chama hataki kuongeza mkataba mpya anataka kwenda timu nyingine wamuache aende, atakuja Chama mwingine” Jamhuri Kiwelu Julio.