Bodi mpya ya wakurugenzi Simba SC hii hapa

Wajumbe walioteuliwa na Mohamed Dewji maarufu Modewji kuwa wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba SC upande wa Mwekezaji.

Waliochaguliwa ni Cresentius Magori, Hussein Kita, Salim Abdallah Tryagain, Mohamed Nassoro, Zulfikar Chandu na Rashid Shangazi

Try Again, Shangazi na Zulfikar walikuwemo kwenye bodi ya wakurugenzi iliyojiuzuru hivi karibuni kabla ya kurejeshwa tena chini ya Modewji



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI