Benchikha kutimkia JS Kabylie
Aliyekuwa kocha mkuu wa Simba SC Abdelhak Benchikha yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na JS Kabylie ya Algeria.
Msimu huu Kabylie imeshika nafasi ya 7 baada ya michezo 30 walikusanya jumla ya alama 42 wakifunga magoli 33 na kuruhusu magoli 27.