Baraka Majogoro fresh Afrika Kusini
Klabu ya Chippa United iliyopo Ligi Kuu ya Afrika Kusini mapema hii leo imetangaza kuachana na jumla ya wachezaji 16 ambao ilikuwa nao msimu uliopita..
Wachezaji walioachwa ni.
1.Luvuyo Memela
2.Roscoe Pietersen
3.Lloydt Kazapua
4.Azola Ntsabo
5.Siyabonga Nhlapo
6.Senzo Nkwanyana
7.Siphelele Luthuli
8.Darren Johnson
9.Menzi Ndwandwe
10.Andile Fakude
11.Kamohelo Mahlatsi
12.Diego Appolis
13.Khanyisile Mayo
14.Siseko Manona
15.Yuriq Conwood
16.Andile Mbenyane
Katika orodha hiyo wapo wachezaji wawili ambao ni Goodman Mosele na Malebogo Modise wanaorejea katika klabu zao baada ya mkopo kumalizika. Wachezaji hao wanarejea katika vilabu vya Orlando Pirates na Mamelodi Sundowns .
Katika orodha hiyo jina la kiingo wa timu ya Taifa ya Tanzania Baraka Gamba Majogoro halipo miongoni mwa wanaoachwa kutokana na kiwango bora alichokionesha msimu uliopita hivyo kupelekea kuongeza mkataba wake.