Bakari Shime amuongeza Stars nyota wa Uingereza
Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars”, Bakari Shime amemuongeza kwenye kikosi mchezaji Malaika Meena anayecheza Wake Forest University ya Uingereza kwenye kikosi kinachoingia kambini Julai 1, 2024 kujiandaa kwa michezo ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana.