Baada ya kumalizana na Mutale, Simba kushusha kiungo mkabaji

Baada ya kudaiwa kumalizana na Joshua Mutale kutoka Zambia, mabosi wa Simba wameanza kumfuatilia kiungo mkabaji wa Rivers United, Augustine Okejepha (20) ili atue kuiboresha timu hiyo msimu ujao.
.
Kiungo huyo inadaiwa anaonwa ni chaguo sahihi Simba kwa ajili ya msimu ujao, japo timu mbalimbali zimeonyesha kuvutiwa naye ikiwemo, FC Ural ya Urusi inayoshiki Ligi Daraja la Kwanza.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI