WAWILI TWIGA STARS KESHO KUKIWASHA UTURUKI

Mastaa wawili wa timu ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars, Opah Clement pamoja na Diana Lucas kesho watashuka dimbani kwenye Ligi Kuu ya wanawake nchini Uturuki katika michezo ya raundi ya 30 ya ligi ambayo itatamatisha msimu wa 2023/2024 nchini humo.

Timu za wachezaji hao wote wawili, Besiktas W ya Opah Clement na Amed SK W anayoichezea Diana Lucas zipo kwenye eneo salama ambalo linazihakikishia timu hizo kuwepo kwenye ligi kuu msimu ujao.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI