Taifa Stars ilivyoelekea Indonesia
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana kimesafiri kuelekea nchini Indonesia kwa ajili ya mchezo wa kirafiki kujiandaa na mechi yake ya kufuzu kombe la Dunia dhidi ya timu ya taifa ya Zambia.
Wachezaji wa timu hiyo wote waliungana pamoja na kukwea pipa kuelekea huko ambapo watacheza mchezo huo.
Baadhi ya wachezaji hawakuonekana katika msafara huo akiwemo kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis