Straika Nigeria aambiwa watoto wake sio damu yake
Imebainika kuwa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria Kayode Olarenwaju watoto watatu ambao ilisemekana ni wake yeye na mke wake,kipimo Cha DNA kimethibitisha kuwa sio watoto wake wote hao wala hawaendani kwa damu.
Kwa mujibu wa taarifa za mfanano ni kuwa watoto hao wanaelezwa kuwa wa Pastor mmoja mkubwa nchini Nigeria ambae jina lake hakijawekwa wazi. Olarenwaju alibambikwa watoto hao.