Mwijaku naye atambulishwa Crown FM
Kituo kipya cha redio kinahomilikiwa staa wa bongofleva Alikiba, Crown FM 92.1, kimeendelea kujimarisha baada ya kumjumuhisha Mwijaku.
Tayari kituo hicho kinachosubiriwa kushusha burudani na ushindani kwa vituo vingine kimeorodhesha mastaa wengine kwenye utangazaji waliojiunga nacho.
Mastaa ni pamoja na:
◉ Salim Kikeke (Huru)
◉ George Job from Wasafi fm.
◉ Hans Raphael from Wasafi fm.
◉ Nassib Mkomwa from Clouds fm
◉ DC Mwijaku from Clouds fm.
◉ Juma Ayo from Kishamba media