Mundele kumfuata Ngoma Simba
Nimearifiwa kwamba nyota wa zamani wa AS Vita na Orlando Pirates Jean Makusu Mundele anatarajia kutua nchini siku ya Jumamosi pamoja na wakala wake Fausta World ili kukamilisha mazungumzo yake na klsbu ya Simba.
Endapo kama watafikia makubaliano Mundele na asimba watasaini mkataba wa miaka miwili ingawa pia mchezaji huyo anawindwa na Ihefu.
Mundele ataungana na Fabrice Ngoma ambaye naye amewahi kucheza timu moja na Mundele, wawili hao walikuwa wanaichezea AS Vita