Msimu ujao Yanga kuanzia hatua ya awali Ligi ya mabingwa Afrika
Kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika 24|25 klabu ya Yanga inaweza isianzie hatua ya awali | Preliminary round.
Kwa mujibu wa (CAF) timu (10) za juu kwenye viwango wa (CAF) hazianzii preliminary round kwenye ligi ya Mabingwa.
Currently club Ranking :
01. Al-Ahly Cairo (82)
02. Esperance de Tunis (61)
03. Wydad Casablanca (60) - ❌
04. Mamelodi Sundowns (54)
05. Zamalek (43) - ❌
06.RS Berkane (42) - ❌
07. Simba SC (39) - ⚠️
08. Petro Atletico - (39)
09. TP Mazembe - (38)
10. CR Belouizdad - (37)
11. USM Alger (36) - ❌
12. Raja Casablanca - (35)
13. 🇹🇿 Young Africans SC - (31)
14. 🇨🇮 ASEC Mimosas - (30)
𝗞𝘄𝗮 𝗻𝗶𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗮𝗻𝘇𝗶𝗲 𝗽𝗿𝗲𝗹𝗶𝗺𝗶𝗻𝗮𝗿𝘆 ?
Klabu (4) zenye (X) zilizo juu ya Yanga SC kwenye viwango vya (CAF) hapo kwenye list hazitashiriki ligi ya Mabingwa Afrika 24|25, wanaenda Shirikisho (CAF).
Maana yake ukizitoa timu hizo Yanga anaingia kwenye top (10) ya timu bora ambazo zina qualify kutoanzia hatua ya awali Preliminary round CAF champions league msimu ujao 24|25.. Yaani :
01 ◉ Al-Ahly Cairo
02 ◉ Esperance de Tunis
03 ◉ Mamelodi Sundowns
04 ◉ Simba (Hakuna uhakika)
05 ◉ Petro Atletico
06 ◉ TP Mazembe
07 ◉ CR Belouizdad
08 ◉ Raja Casablanca
09 ◉ Young Africans
10 ◉ ASEC Mimosas
Iwapo Simba asipofuzu kushiriki ligi ya Mabingwa Afrika timu nyingine iliyo nyuma ya ASEC Mimosas itaingia top (10) na kupata sifa ya kutoanzia preliminary round.
Pia Young Afticans SC wakiingia group stage watawekwa kwenye POT (B) tofauti na POT (C) walipokuwa last season.