Moroko amtosa Job Stars
Kaimu kocha wa timu ya taifa, Taifa Stars Hemed Moroko ameendelea kutomjumuhisha beki wa kati wa Yanga SC Dickson Job kwenye kikosi chake baada ya leo kutangaza kikosi kitakachojiandaa kucheza Zambia, Chipolopolo.
Kocha huyo ameweka mkazo wa kutomuita Job hass baada ya kumkatalia kucheza namba mbili kama alivyowahi kusema wakati alipokuwa anajibu maswali ya wanahabari juu ya kutomuita beki huyo kipenzi cha Wanayanga.
Katika kikosi alichoita leo, Moroko amewataja baadhi ya nyota ambao watakuwemo kwenye kikosi cha awali