Mbwana Samatta abeba kombe Ugiriki
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana samata ametwaa Ubingwa Wa Ligi Kuu Ya Ugiriki akiwa Na PAOK FC / ΠΑΕ ΠΑΟΚ kwa Msimu wa 2023/24.
Kama Samata ataendelea kusalia katika viunga vya mabingwa hao basi msimu ujao tutamwona tena akikiwasha katika michuano ya UEFA Champions League.